DKT. BITEKO ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyofanyika leo Septemba 1, 2024 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. 


Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuhudhuriwa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philipo Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa.




Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA