MWENYEKITI WA UWT TAIFA AONGOZA KONGAMANO LA MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA KWA MAKUNDI MBALIMBALI LILILOANDALIWA NA MBUNGE SANTIEL KIRUMBA SHINYANGA


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comrade Marry Pius Chatanda  ameongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa kwa Makundi mbalimbali lililoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba lililofanyika Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kutoa Mwelekeo wa CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu.

Kongamano hilo lililofanyika  Julai 1,2024 wilayani Kahama limejumuisha makundi mbalimbali na viongozi wa chama na serikali wakiwemo Wakurungezi wote wa halmashauri za mkoa wa Shinyanga,Wabunge,Watendaji,mama lishe,na wajasiriamali, waponda kokoto, walimu , manesi na maaskari na watu wenye ulemavu na waalikwa mbalimbali.


Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA