DKT. TULIA AFUNGUA NA KUONGOZA KIKAO CHA 293 CHA KAMATI TENDAJI YA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU)


Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt Tulia Ackson, leo tarehe 19 Juni, 2024 amefungua na kuongoza kikao cha 293 cha Kamati Tendaji ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kinachofanyika katika Hoteli ya Kwanza Resort, Kizimkazi, Zanzibar. Kikao hicho kinachotarajiwa kuhitimishwa tarehe 21 Juni, 2024.

 





 

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA